Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 63 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿تِلۡكَ ٱلۡجَنَّةُ ٱلَّتِي نُورِثُ مِنۡ عِبَادِنَا مَن كَانَ تَقِيّٗا ﴾
[مَريَم: 63]
﴿تلك الجنة التي نورث من عبادنا من كان تقيا﴾ [مَريَم: 63]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hiyo ndiyo Pepo inayosifiwa kwa sifa hizo, hiyo ndiyo ambayo tutairithisha na kuitoa kuwapa waja wetu wanaotucha kwa kufuata amri zetu na kujiepusha na makatazo yetu |