Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 77 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿أَفَرَءَيۡتَ ٱلَّذِي كَفَرَ بِـَٔايَٰتِنَا وَقَالَ لَأُوتَيَنَّ مَالٗا وَوَلَدًا ﴾
[مَريَم: 77]
﴿أفرأيت الذي كفر بآياتنا وقال لأوتين مالا وولدا﴾ [مَريَم: 77]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je ushajua, ewe Mtume, na ukaona ajabu kuhusu huyu kafiri, Al-'Ās bin Wail na walio mfano wake? Kwani yeye alizikufuru aya za Mwenyezi Mungu, akazikanusha na akasema, «Nitapatiwa-nitapatiwa huko Akhera mali na watoto.» |