Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 94 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿لَّقَدۡ أَحۡصَىٰهُمۡ وَعَدَّهُمۡ عَدّٗا ﴾
[مَريَم: 94]
﴿لقد أحصاهم وعدهم عدا﴾ [مَريَم: 94]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, Amewadhibiti viumbe Wake wote na Ameijua idadi yao, hakuna yoyote miongono mawao mwenye kufichika na Yeye |