×

Na popote wendako elekeza uso wako kwenye Msikiti Mtakatifu. Na hiyo ndiyo 2:149 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:149) ayat 149 in Swahili

2:149 Surah Al-Baqarah ayat 149 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 149 - البَقَرَة - Page - Juz 2

﴿وَمِنۡ حَيۡثُ خَرَجۡتَ فَوَلِّ وَجۡهَكَ شَطۡرَ ٱلۡمَسۡجِدِ ٱلۡحَرَامِۖ وَإِنَّهُۥ لَلۡحَقُّ مِن رَّبِّكَۗ وَمَا ٱللَّهُ بِغَٰفِلٍ عَمَّا تَعۡمَلُونَ ﴾
[البَقَرَة: 149]

Na popote wendako elekeza uso wako kwenye Msikiti Mtakatifu. Na hiyo ndiyo Haki itokayo kwa Mola wako Mlezi. Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na mnayo yatenda

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن حيث خرجت فول وجهك شطر المسجد الحرام وإنه للحق من ربك, باللغة السواحيلية

﴿ومن حيث خرجت فول وجهك شطر المسجد الحرام وإنه للحق من ربك﴾ [البَقَرَة: 149]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mahali popote ulipotoka, ewe Nabii, ukiwa msafiri au ukitaka kuswali, elekeza uso wako upande wa Msikiti wa Haram. Kuelekea kwako huko ndio haki iliyothibiti kutoka kwa Mola wako. Na Mwenyezi Mungu hakuwa ni Mwenye kughafilika juu ya yale mnayoyatenda na Atawalipa kwa hayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek