×

Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao 2:24 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:24) ayat 24 in Swahili

2:24 Surah Al-Baqarah ayat 24 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 24 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿فَإِن لَّمۡ تَفۡعَلُواْ وَلَن تَفۡعَلُواْ فَٱتَّقُواْ ٱلنَّارَ ٱلَّتِي وَقُودُهَا ٱلنَّاسُ وَٱلۡحِجَارَةُۖ أُعِدَّتۡ لِلۡكَٰفِرِينَ ﴾
[البَقَرَة: 24]

Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فإن لم تفعلوا ولن تفعلوا فاتقوا النار التي وقودها الناس والحجارة أعدت, باللغة السواحيلية

﴿فإن لم تفعلوا ولن تفعلوا فاتقوا النار التي وقودها الناس والحجارة أعدت﴾ [البَقَرَة: 24]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mkiwa hamuwezi sasa, na hamtaweza wakati unaokuja kabisa, basi uogopeni Moto, kwa kumuamini Nabii, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na kumtii Mwenyezi Mungu Aliyetukuka. Moto ambao kuni zake ni watu na mawe, umeandaliwa wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu na Mitume Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek