Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 56 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿ثُمَّ بَعَثۡنَٰكُم مِّنۢ بَعۡدِ مَوۡتِكُمۡ لَعَلَّكُمۡ تَشۡكُرُونَ ﴾
[البَقَرَة: 56]
﴿ثم بعثناكم من بعد موتكم لعلكم تشكرون﴾ [البَقَرَة: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tukawahuisha baada ya kufa kwenu kwa kimondo cha moto, ili muishukuru neema ya Mwenyezi Mungu kwenu. Kifo hiki kilikuwa ni adhabu kwao, kisha aliwafufua wakaendelea kuishi mpaka muda wao kumalizika |