×

Lakini walio dhulumu waliibadili kauli isiyo kuwa waliyo ambiwa. Kwa hivyo tukaiteremsha 2:59 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:59) ayat 59 in Swahili

2:59 Surah Al-Baqarah ayat 59 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 59 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿فَبَدَّلَ ٱلَّذِينَ ظَلَمُواْ قَوۡلًا غَيۡرَ ٱلَّذِي قِيلَ لَهُمۡ فَأَنزَلۡنَا عَلَى ٱلَّذِينَ ظَلَمُواْ رِجۡزٗا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ بِمَا كَانُواْ يَفۡسُقُونَ ﴾
[البَقَرَة: 59]

Lakini walio dhulumu waliibadili kauli isiyo kuwa waliyo ambiwa. Kwa hivyo tukaiteremsha juu ya wale walio dhulumu adhabu kutoka mbinguni kwa sababu ya walivyo kuwa wamepotoka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فبدل الذين ظلموا قولا غير الذي قيل لهم فأنـزلنا على الذين ظلموا, باللغة السواحيلية

﴿فبدل الذين ظلموا قولا غير الذي قيل لهم فأنـزلنا على الذين ظلموا﴾ [البَقَرَة: 59]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wale wajeuri waliyo wapotevu, katika wana wa Isrāīl, walibadilisha neno la Mwenyezi Mungu na wakaipotoa kauli pamoja na kitendo. Kwani waliingia, na huku wakijikokota kwa matako na wakisema, “habbah fī sha’rah’ (mbegu unyweleni.)”, wakiifanyia maskhara dini ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu Aliwateremshia adhabu kutoka mbinguni kwa sababu ya kuasi kwao na kutoka kwao kwenye utiifu kwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek