×

Wala hawatayatamani kamwe kwa sababu ya yale yaliyo tangulizwa na mikono yao; 2:95 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:95) ayat 95 in Swahili

2:95 Surah Al-Baqarah ayat 95 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 95 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿وَلَن يَتَمَنَّوۡهُ أَبَدَۢا بِمَا قَدَّمَتۡ أَيۡدِيهِمۡۚ وَٱللَّهُ عَلِيمُۢ بِٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[البَقَرَة: 95]

Wala hawatayatamani kamwe kwa sababu ya yale yaliyo tangulizwa na mikono yao; na Mwenyezi Mungu ni mwenye kuwajua vyema wanao dhulumu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولن يتمنوه أبدا بما قدمت أيديهم والله عليم بالظالمين, باللغة السواحيلية

﴿ولن يتمنوه أبدا بما قدمت أيديهم والله عليم بالظالمين﴾ [البَقَرَة: 95]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hawatalifanya hilo kabisa, kwa wanayoyajua ya ukweli wa Nabii Muhammad, rehema na amani zimshukie, na ya urongo na uzushi wao, na kwa ukafiri na uasi walioufanya unaopelekea kukoseshwa Pepo na kuingia Motoni. Na Mwenyezi Mungu Anawajua madhalimu miongoni mwa waja wake na Atawalipa kwa dhulma zao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek