Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 120 - طه - Page - Juz 16
﴿فَوَسۡوَسَ إِلَيۡهِ ٱلشَّيۡطَٰنُ قَالَ يَٰٓـَٔادَمُ هَلۡ أَدُلُّكَ عَلَىٰ شَجَرَةِ ٱلۡخُلۡدِ وَمُلۡكٖ لَّا يَبۡلَىٰ ﴾
[طه: 120]
﴿فوسوس إليه الشيطان قال ياآدم هل أدلك على شجرة الخلد وملك لا﴾ [طه: 120]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Shetani akamshawishi Ādam na akamwambia, «Je, nikushauri kwa kukuonesha mti ambao lau utakula kutoka mti huo utakaa milele na hutakufa na utakuwa na ufalme usiokoma na usiokatika |