Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 46 - طه - Page - Juz 16
﴿قَالَ لَا تَخَافَآۖ إِنَّنِي مَعَكُمَآ أَسۡمَعُ وَأَرَىٰ ﴾
[طه: 46]
﴿قال لا تخافا إنني معكما أسمع وأرى﴾ [طه: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akasema kumwambia Mūsā na Hārūn, «Msimuogope Fir'awn, kwani mimi niko na nyinyi, nasikia maneno yenu na naona vitendo vyenu |