Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 56 - طه - Page - Juz 16
﴿وَلَقَدۡ أَرَيۡنَٰهُ ءَايَٰتِنَا كُلَّهَا فَكَذَّبَ وَأَبَىٰ ﴾
[طه: 56]
﴿ولقد أريناه آياتنا كلها فكذب وأبى﴾ [طه: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa kweli, tulimuonyesha Fir'awn dalili zetu na hoja zetu zote zenye kujulisha uungu wetu na uweza wetu na ukweli wa ujumbe wa Mūsā, akazikanusha na akakataa kuikubali haki |