Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 60 - طه - Page - Juz 16
﴿فَتَوَلَّىٰ فِرۡعَوۡنُ فَجَمَعَ كَيۡدَهُۥ ثُمَّ أَتَىٰ ﴾
[طه: 60]
﴿فتولى فرعون فجمع كيده ثم أتى﴾ [طه: 60]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Fir'awn aliyapa mgongo hali ya kuyapuuza yale ya ukweli aliyoletewa na Mūsā na akawakusanya wachawi wake, na baada yake akaja katika kipindi cha mkusanyiko |