Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 59 - طه - Page - Juz 16
﴿قَالَ مَوۡعِدُكُمۡ يَوۡمُ ٱلزِّينَةِ وَأَن يُحۡشَرَ ٱلنَّاسُ ضُحٗى ﴾
[طه: 59]
﴿قال موعدكم يوم الزينة وأن يحشر الناس ضحى﴾ [طه: 59]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema kumwambia Fir'awm, «Ahadi yenu ya mkusanyiko ni suku ya sikukuu, pindi watu watakapojipamba na kukusanyika kutoka kila sehemu na upande kipindi cha asubuhi.» |