×

Musa akamwambia: Ole wenu! Msimzulie Mwenyezi Mungu uwongo, asije akakufutilieni mbali kwa 20:61 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:61) ayat 61 in Swahili

20:61 Surah Ta-Ha ayat 61 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 61 - طه - Page - Juz 16

﴿قَالَ لَهُم مُّوسَىٰ وَيۡلَكُمۡ لَا تَفۡتَرُواْ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبٗا فَيُسۡحِتَكُم بِعَذَابٖۖ وَقَدۡ خَابَ مَنِ ٱفۡتَرَىٰ ﴾
[طه: 61]

Musa akamwambia: Ole wenu! Msimzulie Mwenyezi Mungu uwongo, asije akakufutilieni mbali kwa adhabu. Na mwenye kuzua lazima ashindwe

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال لهم موسى ويلكم لا تفتروا على الله كذبا فيسحتكم بعذاب وقد, باللغة السواحيلية

﴿قال لهم موسى ويلكم لا تفتروا على الله كذبا فيسحتكم بعذاب وقد﴾ [طه: 61]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mūsā akasema kuwaambia wachawi wa Fir'awn akiwapa mawaidha, «Jihadharini, msimzulie Mwenyezi Mungu urongo, Asije Akawamaliza nyinyi kwa adhabu itokayo Kwake na Akawaondoa kabisa. Na kwa kweli, amepata hasara mwenye kumzulia Mwenyezi Mungu urongo.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek