Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 70 - طه - Page - Juz 16
﴿فَأُلۡقِيَ ٱلسَّحَرَةُ سُجَّدٗا قَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِرَبِّ هَٰرُونَ وَمُوسَىٰ ﴾
[طه: 70]
﴿فألقي السحرة سجدا قالوا آمنا برب هارون وموسى﴾ [طه: 70]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Mūsā aliirusha fimbo yake, ikavimeza walivyovifanya, haki ikajitokeza na hoja ikasimama juu yao. Hapo wachawi walijitupa chini wakiwa katika hali ya kusujudu na wakasema, «Tumemuamini Mola wa Hārūn na Mūsā. Lau huu ulikuwa ni uchawi hatungalishindwa.» |