×

Hakika ataye mjia Mola wake Mlezi naye ni mkhalifu, basi kwa yakini, 20:74 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:74) ayat 74 in Swahili

20:74 Surah Ta-Ha ayat 74 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 74 - طه - Page - Juz 16

﴿إِنَّهُۥ مَن يَأۡتِ رَبَّهُۥ مُجۡرِمٗا فَإِنَّ لَهُۥ جَهَنَّمَ لَا يَمُوتُ فِيهَا وَلَا يَحۡيَىٰ ﴾
[طه: 74]

Hakika ataye mjia Mola wake Mlezi naye ni mkhalifu, basi kwa yakini, yake huyo ni Jahannamu. Hafi humo wala haishi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنه من يأت ربه مجرما فإن له جهنم لا يموت فيها ولا, باللغة السواحيلية

﴿إنه من يأت ربه مجرما فإن له جهنم لا يموت فيها ولا﴾ [طه: 74]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ukweli wa mambo ni kwamba mwenye kumjia Mola wake hali ya kuwa amemkanusha, basi atapata moto wa Jahanamu atakaoteswa nao; hatakufa humo akapumzika wala hataishi maisha ambayo atayafurahia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek