×

Akasema: Hao wapo nyuma yangu wananifuatia. Na nimefanya haraka kukujia, Mola wangu 20:84 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:84) ayat 84 in Swahili

20:84 Surah Ta-Ha ayat 84 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 84 - طه - Page - Juz 16

﴿قَالَ هُمۡ أُوْلَآءِ عَلَىٰٓ أَثَرِي وَعَجِلۡتُ إِلَيۡكَ رَبِّ لِتَرۡضَىٰ ﴾
[طه: 84]

Akasema: Hao wapo nyuma yangu wananifuatia. Na nimefanya haraka kukujia, Mola wangu Mlezi, ili uridhike

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال هم أولاء على أثري وعجلت إليك رب لترضى, باللغة السواحيلية

﴿قال هم أولاء على أثري وعجلت إليك رب لترضى﴾ [طه: 84]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Akasema, «Wao wako nyuma yangu watanifikia. Na nimewatangulia kuja kwako, ewe Mola wangu, ili uridhike na mimi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek