Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 83 - طه - Page - Juz 16
﴿۞ وَمَآ أَعۡجَلَكَ عَن قَوۡمِكَ يَٰمُوسَىٰ ﴾
[طه: 83]
﴿وما أعجلك عن قومك ياموسى﴾ [طه: 83]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ni kitu gani kilichokuharakisha, ewe Mūsā, ukawatangulia watu wako kwenda upande wa kulia wa jabali la Tūr na ukawaacha nyuma yako |