×

Siku tutakapo zikunja mbingu kama mkunjo wa karatasi za vitabu. Kama tulivyo 21:104 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:104) ayat 104 in Swahili

21:104 Surah Al-Anbiya’ ayat 104 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 104 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿يَوۡمَ نَطۡوِي ٱلسَّمَآءَ كَطَيِّ ٱلسِّجِلِّ لِلۡكُتُبِۚ كَمَا بَدَأۡنَآ أَوَّلَ خَلۡقٖ نُّعِيدُهُۥۚ وَعۡدًا عَلَيۡنَآۚ إِنَّا كُنَّا فَٰعِلِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 104]

Siku tutakapo zikunja mbingu kama mkunjo wa karatasi za vitabu. Kama tulivyo anza umbo la mwanzo tutalirudisha tena. Ni ahadi iliyo juu yetu. Hakika Sisi ni watendao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يوم نطوي السماء كطي السجل للكتب كما بدأنا أول خلق نعيده وعدا, باللغة السواحيلية

﴿يوم نطوي السماء كطي السجل للكتب كما بدأنا أول خلق نعيده وعدا﴾ [الأنبيَاء: 104]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Siku ambayo tutaikunja mbingu kame vile ukurasa unaokunjiwa maandishi yaliyomo ndani na tutawafufua viumbe kama vile walivyokuwa mwanzo walipozaliwa na mama zao. Hiyo ndiyo ahadi ya Mwenyezi Mungu isiyokwenda kinyume. Tumeliahidi hilo ahadi ya kweli tuliyojilazimisha nayo. Hakika sisi daima ni wenye kufanya tunaloahidi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek