Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 112 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿قَٰلَ رَبِّ ٱحۡكُم بِٱلۡحَقِّۗ وَرَبُّنَا ٱلرَّحۡمَٰنُ ٱلۡمُسۡتَعَانُ عَلَىٰ مَا تَصِفُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 112]
﴿قال رب احكم بالحق وربنا الرحمن المستعان على ما تصفون﴾ [الأنبيَاء: 112]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nabii, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye, akasema,» Mola wangu! Amua baina yetu na watu wetu walioukanusha Uamuzi wa haki, na tunamuomba Mola wetu Mwingi wa rehema, tunataka msaada Wake tuzibatilishe sifa mnazombandika, enyi makafiri, za ushirikina na ukanushaji na uzushi na juu ya maonyo mnayotuonya kuwa mtakuwa na nguvu na ushindi |