Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 111 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَإِنۡ أَدۡرِي لَعَلَّهُۥ فِتۡنَةٞ لَّكُمۡ وَمَتَٰعٌ إِلَىٰ حِينٖ ﴾
[الأنبيَاء: 111]
﴿وإن أدري لعله فتنة لكم ومتاع إلى حين﴾ [الأنبيَاء: 111]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na sijui huenda kukawa kule kucheleweshwa adhabu mliyoitaka iwajie kwa haraka ni mavuto na mtihani kwenu, na ili mjistareheshe ulimwenguni mpaka muda ukome, mpate kuzidisha ukafiri, kisha hiyo iwe ni sababu ya nyinyi kupata mateso makubwa zaidi |