×

Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo 21:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:16) ayat 16 in Swahili

21:16 Surah Al-Anbiya’ ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 16 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَمَا خَلَقۡنَا ٱلسَّمَآءَ وَٱلۡأَرۡضَ وَمَا بَيۡنَهُمَا لَٰعِبِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 16]

Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما خلقنا السماء والأرض وما بينهما لاعبين, باللغة السواحيلية

﴿وما خلقنا السماء والأرض وما بينهما لاعبين﴾ [الأنبيَاء: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hatukuumba mbingu na ardhi na vilivyoko baina yake kwa upuuzi na ubatilifu, lakini ni kwa kusimamisha hoja juu yenu, enyi watu, na ili mzingatie kwa hayo yote mpate kujua kwamba Yule Aliyeziumba hizo mbingu na ardhi hafanani na chochote, na hakuna anayefaa kuabudiwa isipokuwa Yeye
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek