×

Hakikuacha hicho kuwa kilio chao mpaka tukawafanya kama walio fyekwa, wamezimika 21:15 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:15) ayat 15 in Swahili

21:15 Surah Al-Anbiya’ ayat 15 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 15 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿فَمَا زَالَت تِّلۡكَ دَعۡوَىٰهُمۡ حَتَّىٰ جَعَلۡنَٰهُمۡ حَصِيدًا خَٰمِدِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 15]

Hakikuacha hicho kuwa kilio chao mpaka tukawafanya kama walio fyekwa, wamezimika

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فما زالت تلك دعواهم حتى جعلناهم حصيدا خامدين, باللغة السواحيلية

﴿فما زالت تلك دعواهم حتى جعلناهم حصيدا خامدين﴾ [الأنبيَاء: 15]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yaliendelea maneno hayo - nayo ni yale ya kujiapiza wenyewe maangamivu na kukubali kuwa wamejidhulumu wenyewe- kuwa ndiyo mwito wao wanaoukariri mpaka tukawafanya kama mimea ya ukulima iliyovunwa, wakiwa wametulia hawana uhai. Basi kuweni na hadhari, enyi mnaoambiwa, na kuendelea kumkanusha Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye, isije ikawashukia nyinyi yale yaliyowashukia watu waliopita kabla yenu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek