Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 18 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿بَلۡ نَقۡذِفُ بِٱلۡحَقِّ عَلَى ٱلۡبَٰطِلِ فَيَدۡمَغُهُۥ فَإِذَا هُوَ زَاهِقٞۚ وَلَكُمُ ٱلۡوَيۡلُ مِمَّا تَصِفُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 18]
﴿بل نقذف بالحق على الباطل فيدمغه فإذا هو زاهق ولكم الويل مما﴾ [الأنبيَاء: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr bali tunaisukuma haki na tunaifafanua, na hapo urongo unapomoka, na punde si punde unaondoka na kupotea. Na nyinyi, enyi washirikina, mtapata adhabu huko Akhera kwa kumsifu kwenu Mola wenu kwa sifa zisizonasibiana na Yeye |