Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 19 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَلَهُۥ مَن فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ وَمَنۡ عِندَهُۥ لَا يَسۡتَكۡبِرُونَ عَنۡ عِبَادَتِهِۦ وَلَا يَسۡتَحۡسِرُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 19]
﴿وله من في السموات والأرض ومن عنده لا يستكبرون عن عبادته ولا﴾ [الأنبيَاء: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni milki ya Mweyezi Mungu, Aliyetakasika na sifa za upungufu, kila aliye mbinguni na ardhini. Na wale Malaika walioko mbele Yake hawafanyi kiburi kumuabudu Yeye wala hawachoki kufanya hivyo. Basi vipi itafaa Ashirikishwe na kitu ambacho ni mja wake na kiumbe chake |