Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 29 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿۞ وَمَن يَقُلۡ مِنۡهُمۡ إِنِّيٓ إِلَٰهٞ مِّن دُونِهِۦ فَذَٰلِكَ نَجۡزِيهِ جَهَنَّمَۚ كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 29]
﴿ومن يقل منهم إني إله من دونه فذلك نجزيه جهنم كذلك نجزي﴾ [الأنبيَاء: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na yoyote miongoni mwa Malaika atakayedai kwamba yeye ni mungu pamoja na Mwenyezi Mungu, kwa kukadiria, basi malipo yake ni moto wa Jahanamu. Na mfano wa malipo hayo ndivyo tunavyomlipa kila dhalimu mshirikina |