×

Lakini wao walisema: Hizo ni ndoto za ovyo ovyo, bali amezizua tu, 21:5 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:5) ayat 5 in Swahili

21:5 Surah Al-Anbiya’ ayat 5 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 5 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿بَلۡ قَالُوٓاْ أَضۡغَٰثُ أَحۡلَٰمِۭ بَلِ ٱفۡتَرَىٰهُ بَلۡ هُوَ شَاعِرٞ فَلۡيَأۡتِنَا بِـَٔايَةٖ كَمَآ أُرۡسِلَ ٱلۡأَوَّلُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 5]

Lakini wao walisema: Hizo ni ndoto za ovyo ovyo, bali amezizua tu, bali huyo ni mtunga mashairi. Basi atuletee miujiza kama walivyo tumwa wale wa mwanzo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: بل قالوا أضغاث أحلام بل افتراه بل هو شاعر فليأتنا بآية كما, باللغة السواحيلية

﴿بل قالوا أضغاث أحلام بل افتراه بل هو شاعر فليأتنا بآية كما﴾ [الأنبيَاء: 5]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Lakini makafiri wameikanusha Qur’ani: kuna wanaosema kwamba ni mchanganyiko wa ndoto zisizo na ukweli, kuna wanaosema kwamba ni uzushi na urongo na si wahyi na kuna wanaosema kwamba Muhammad ni mshairi na kwamba haya ambayo amekuja nayo ni mashairi, na akiwa anataka tumuamini basi na atuletee miujiza yenye kuonekana kama vile ngamia wa Ṣāliḥ na miujiza ya Mūsā na 'Īsā na yale ambayo walikuja nayo Mitume kabla yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek