×

Hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je, wataamini hawa 21:6 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:6) ayat 6 in Swahili

21:6 Surah Al-Anbiya’ ayat 6 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 6 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿مَآ ءَامَنَتۡ قَبۡلَهُم مِّن قَرۡيَةٍ أَهۡلَكۡنَٰهَآۖ أَفَهُمۡ يُؤۡمِنُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 6]

Hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je, wataamini hawa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ما آمنت قبلهم من قرية أهلكناها أفهم يؤمنون, باللغة السواحيلية

﴿ما آمنت قبلهم من قرية أهلكناها أفهم يؤمنون﴾ [الأنبيَاء: 6]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakuna mji wowote ulioamini kabala ya makafiri wa Makkah ambao watu wake walitaka miujiza kutoka kwa Mtume wao na ikatokea kweli, bali walikanusha na tukawaangamiza. Basi je, makafiri wa Makkah wataamini iwapo itakuwa miujiza waliyoitaka? Sivyo, wao hawataamini
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek