×

Akasema: Bali Mola wenu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi 21:56 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:56) ayat 56 in Swahili

21:56 Surah Al-Anbiya’ ayat 56 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 56 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿قَالَ بَل رَّبُّكُمۡ رَبُّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ ٱلَّذِي فَطَرَهُنَّ وَأَنَا۠ عَلَىٰ ذَٰلِكُم مِّنَ ٱلشَّٰهِدِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 56]

Akasema: Bali Mola wenu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi ambaye ndiye aliye ziumba. Na mimi ni katika wenye kuyashuhudia hayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال بل ربكم رب السموات والأرض الذي فطرهن وأنا على ذلكم من, باللغة السواحيلية

﴿قال بل ربكم رب السموات والأرض الذي فطرهن وأنا على ذلكم من﴾ [الأنبيَاء: 56]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ibrāhīm, rehema na amani zimshukie, akasema, «Bali Mola wenu Ambaye ninawalingania mumuabudu Ndiye Mola wa mbingu na ardhi Ambaye Ameziumba, na mimi ni mwenye kulitolea ushahidi hilo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek