Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 55 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿قَالُوٓاْ أَجِئۡتَنَا بِٱلۡحَقِّ أَمۡ أَنتَ مِنَ ٱللَّٰعِبِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 55]
﴿قالوا أجئتنا بالحق أم أنت من اللاعبين﴾ [الأنبيَاء: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakasema, «Je, neno hili ambalo umekuja nalo kwetu ni la usawa na ukweli, au neno lako ni la mtu anayefanya mzaha na shere, hajui analosema?» |