Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 70 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَأَرَادُواْ بِهِۦ كَيۡدٗا فَجَعَلۡنَٰهُمُ ٱلۡأَخۡسَرِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 70]
﴿وأرادوا به كيدا فجعلناهم الأخسرين﴾ [الأنبيَاء: 70]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale watu walimtakia Ibrāhīm maangamivu na Mwenyezi Mungu Akavitangua vitimbi vyao na Akawafanya wao wawe ni wenye kushindwa na kuwa chini |