×

Na tukamwokoa yeye na Luut'i tukawapeleka kwenye nchi tulio ibariki kwa ajili 21:71 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:71) ayat 71 in Swahili

21:71 Surah Al-Anbiya’ ayat 71 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 71 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَنَجَّيۡنَٰهُ وَلُوطًا إِلَى ٱلۡأَرۡضِ ٱلَّتِي بَٰرَكۡنَا فِيهَا لِلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 71]

Na tukamwokoa yeye na Luut'i tukawapeleka kwenye nchi tulio ibariki kwa ajili ya walimwengu wote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ونجيناه ولوطا إلى الأرض التي باركنا فيها للعالمين, باللغة السواحيلية

﴿ونجيناه ولوطا إلى الأرض التي باركنا فيها للعالمين﴾ [الأنبيَاء: 71]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tukamuokoa Ibrāhīm na Lūṭ ambaye alimuamini kutoka 'Irāq na tukawatoa huko hadi Shām ambako tulikubariki kwa kheri nyinygi, na huko kulikuwa na Manabaii, rehema na amani ziwashukie, wengi zaidi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek