Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 98 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿إِنَّكُمۡ وَمَا تَعۡبُدُونَ مِن دُونِ ٱللَّهِ حَصَبُ جَهَنَّمَ أَنتُمۡ لَهَا وَٰرِدُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 98]
﴿إنكم وما تعبدون من دون الله حصب جهنم أنتم لها واردون﴾ [الأنبيَاء: 98]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika, nyinyi, enyi makafiri, na vitu ambavyo mlikuwa mkiviabudu badala ya Mwenyezi Mungu, miongoni mwa masanamu, na wale walioridhia muwaabudu, kati ya majini na binadmu, ni viwashio vya moto wa Jahanamu na ni kuni zake, nyinyi na wao humo mtaingia |