×

Lau kuwa hawa ni miungu, wasingeli ingia. Na wote watadumu humo 21:99 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:99) ayat 99 in Swahili

21:99 Surah Al-Anbiya’ ayat 99 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 99 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿لَوۡ كَانَ هَٰٓؤُلَآءِ ءَالِهَةٗ مَّا وَرَدُوهَاۖ وَكُلّٞ فِيهَا خَٰلِدُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 99]

Lau kuwa hawa ni miungu, wasingeli ingia. Na wote watadumu humo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لو كان هؤلاء آلهة ما وردوها وكل فيها خالدون, باللغة السواحيلية

﴿لو كان هؤلاء آلهة ما وردوها وكل فيها خالدون﴾ [الأنبيَاء: 99]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Lau hawa ambao mliwaabudu badala ya Mwenyezi Mungu Aliyetukuka walikuwa ni waungu wanaostahiki kuabudiwa, hawangaliingia moto wa Jahanamu pamoja na nyinyi, enyi washirikina. Kwa hakika, wote hao, waabudu na waabudiwa, ni wenye kukaa milele ndani ya moto wa Jahanamu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek