Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 10 - الحج - Page - Juz 17
﴿ذَٰلِكَ بِمَا قَدَّمَتۡ يَدَاكَ وَأَنَّ ٱللَّهَ لَيۡسَ بِظَلَّٰمٖ لِّلۡعَبِيدِ ﴾
[الحج: 10]
﴿ذلك بما قدمت يداك وأن الله ليس بظلام للعبيد﴾ [الحج: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ataambiwa, «Adhabu hiyo ni kwa sababu ya maasia uliyoyafanya na makosa uliyoyachuma, na Mwenyezi Mungu Hamuadhibu yoyote pasi na dhambi.» |