Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 20 - الحج - Page - Juz 17
﴿يُصۡهَرُ بِهِۦ مَا فِي بُطُونِهِمۡ وَٱلۡجُلُودُ ﴾
[الحج: 20]
﴿يصهر به ما في بطونهم والجلود﴾ [الحج: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr hapo yateremke ndani ya matumbo yao na viyayuke vilivyomo ndani yake mpaka yapenyeze kwenye ngozi zao yazichome na zitoke na kuanguka |