×

Na kila umma tumewafanyia mahala pa kuchinjia mihanga ya ibada ili walitaje 22:34 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hajj ⮕ (22:34) ayat 34 in Swahili

22:34 Surah Al-hajj ayat 34 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 34 - الحج - Page - Juz 17

﴿وَلِكُلِّ أُمَّةٖ جَعَلۡنَا مَنسَكٗا لِّيَذۡكُرُواْ ٱسۡمَ ٱللَّهِ عَلَىٰ مَا رَزَقَهُم مِّنۢ بَهِيمَةِ ٱلۡأَنۡعَٰمِۗ فَإِلَٰهُكُمۡ إِلَٰهٞ وَٰحِدٞ فَلَهُۥٓ أَسۡلِمُواْۗ وَبَشِّرِ ٱلۡمُخۡبِتِينَ ﴾
[الحج: 34]

Na kila umma tumewafanyia mahala pa kuchinjia mihanga ya ibada ili walitaje jina la Mwenyezi Mungu juu ya vile walivyo ruzukiwa katika wanyama wa mifugo. Basi Mungu wenu ni Mungu Mmoja tu. Jisalimishieni kwake tu, na wabashirie wanyenyekevu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولكل أمة جعلنا منسكا ليذكروا اسم الله على ما رزقهم من بهيمة, باللغة السواحيلية

﴿ولكل أمة جعلنا منسكا ليذكروا اسم الله على ما رزقهم من بهيمة﴾ [الحج: 34]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kila kundi lenye kuamini lililotangulia, tumelifanyia mambo ya ibada ya kuchinja na kumwaga damu, hayo ni kwa ajili wapate kutaja jina la Mwenyezi Mungu Aliyetukuka wakati wa kuchinja kile tulichowaruzuku cha hawa wanyama-howa na wamshukuru. Basi Mola wenu, enyi watu, ni Mola Mmoja, Yeye ni Mwemyezi Mungu. Hivyo basi iandameni amri Yake na amri ya Mtume Wake. Na uuwape bishara njema, ewe Mtume, wale wanyenyekevu waliosalimu amri kwa Mola wao, kwamba watapata kheri mbili: ya ulimenguni nay a Akhera
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek