×

Ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza 22:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hajj ⮕ (22:4) ayat 4 in Swahili

22:4 Surah Al-hajj ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 4 - الحج - Page - Juz 17

﴿كُتِبَ عَلَيۡهِ أَنَّهُۥ مَن تَوَلَّاهُ فَأَنَّهُۥ يُضِلُّهُۥ وَيَهۡدِيهِ إِلَىٰ عَذَابِ ٱلسَّعِيرِ ﴾
[الحج: 4]

Ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza kwenye adhabu ya Moto mkali

❮ Previous Next ❯

ترجمة: كتب عليه أنه من تولاه فأنه يضله ويهديه إلى عذاب السعير, باللغة السواحيلية

﴿كتب عليه أنه من تولاه فأنه يضله ويهديه إلى عذاب السعير﴾ [الحج: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu amehukumu na kukadiria juu ya huyu Shetani kwamba yeye ampoteze kila mwenye kumfuata na asimuongoze kwenye ukweli, bali amuandamishe njia ya kupelekea kwenye adhabu ya Jahanamu uliowashwa, ikiwa ni malipo ya kumfuata kwake huyo Shetani
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek