Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 51 - الحج - Page - Juz 17
﴿وَٱلَّذِينَ سَعَوۡاْ فِيٓ ءَايَٰتِنَا مُعَٰجِزِينَ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَحِيمِ ﴾
[الحج: 51]
﴿والذين سعوا في آياتنا معاجزين أولئك أصحاب الجحيم﴾ [الحج: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale wenye kujitahidi kufanya vitimbi ili kuzitangua aya za Qur’ani kwa kuzikanusha hali ya kuwa ni watesi na washindani, basi hao ndio watu wa Moto wenye kuwaka, wataungia na watasalia humo milele.» |