Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 68 - الحج - Page - Juz 17
﴿وَإِن جَٰدَلُوكَ فَقُلِ ٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا تَعۡمَلُونَ ﴾
[الحج: 68]
﴿وإن جادلوك فقل الله أعلم بما تعملون﴾ [الحج: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wakishikilia kujadiliana na wewe kwa njia ya ubatilifu kuhusu yale unayowalingania nayo, usijadiliane na wao, bali waambie, «Mwenyezi Mungu ni mjuzi zaidi wa mnayoyafanya ya ukafiri na kukanusha,» kwani wao wanafanya inadi na kiburi |