×

Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu Siku ya Kiyama katika hayo mnayo khitalifiana 22:69 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hajj ⮕ (22:69) ayat 69 in Swahili

22:69 Surah Al-hajj ayat 69 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 69 - الحج - Page - Juz 17

﴿ٱللَّهُ يَحۡكُمُ بَيۡنَكُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ فِيمَا كُنتُمۡ فِيهِ تَخۡتَلِفُونَ ﴾
[الحج: 69]

Mwenyezi Mungu atahukumu baina yenu Siku ya Kiyama katika hayo mnayo khitalifiana

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الله يحكم بينكم يوم القيامة فيما كنتم فيه تختلفون, باللغة السواحيلية

﴿الله يحكم بينكم يوم القيامة فيما كنتم فيه تختلفون﴾ [الحج: 69]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Atahukumu kati ya Waislamu na makafiri Siku Ya Kiyama katika tafauti zao kuhusu dini. Katika aya hii pana adabu nzuri ya kuwarudi wanaofanya mjadala kwa njia ya ujeuri na kiburi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek