Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 7 - الحج - Page - Juz 17
﴿وَأَنَّ ٱلسَّاعَةَ ءَاتِيَةٞ لَّا رَيۡبَ فِيهَا وَأَنَّ ٱللَّهَ يَبۡعَثُ مَن فِي ٱلۡقُبُورِ ﴾
[الحج: 7]
﴿وأن الساعة آتية لا ريب فيها وأن الله يبعث من في القبور﴾ [الحج: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwamba wakati wa ufufuzi ni wenye kuja, hilo halina shaka, na kwamba Mwenyezi Mungu Atawafufua wafu kutoka makaburini mwao ili Awahesabu na Awalipe |