×

Na katika watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya 22:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hajj ⮕ (22:8) ayat 8 in Swahili

22:8 Surah Al-hajj ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 8 - الحج - Page - Juz 17

﴿وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يُجَٰدِلُ فِي ٱللَّهِ بِغَيۡرِ عِلۡمٖ وَلَا هُدٗى وَلَا كِتَٰبٖ مُّنِيرٖ ﴾
[الحج: 8]

Na katika watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, wala uwongofu, wala Kitabu chenye nuru

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن الناس من يجادل في الله بغير علم ولا هدى ولا كتاب, باللغة السواحيلية

﴿ومن الناس من يجادل في الله بغير علم ولا هدى ولا كتاب﴾ [الحج: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Miongoni mwa makafiri kuna wenye kujadili kwa njia ya ubatilifu kuhusu Mwenyezi Mungu na kuhusu kumpwekesha Yeye na kuhusu kumteua Kwake Mitume wake, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na kuhusu kuteremsha Kwake Qur’ani. Kujadili huko ni bila ya ujuzi, ufafanuzi wala kitabu kitokacho kwa Mwenyezi Mungu chenye ushahidi na hoja iliyo wazi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek