Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 102 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿فَمَن ثَقُلَتۡ مَوَٰزِينُهُۥ فَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡمُفۡلِحُونَ ﴾
[المؤمنُون: 102]
﴿فمن ثقلت موازينه فأولئك هم المفلحون﴾ [المؤمنُون: 102]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi yule ambaye mema yake yatakuwa mengi na zikawa nzito kwayo mizani za matendo yake Siku ya kuhesabiwa, basi hao ndio wenye kufaulu kupata Pepo |