×

Na wale ambao mizani zao zitakuwa nyepesi, hao ndio walio zitia khasarani 23:103 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:103) ayat 103 in Swahili

23:103 Surah Al-Mu’minun ayat 103 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 103 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿وَمَنۡ خَفَّتۡ مَوَٰزِينُهُۥ فَأُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ خَسِرُوٓاْ أَنفُسَهُمۡ فِي جَهَنَّمَ خَٰلِدُونَ ﴾
[المؤمنُون: 103]

Na wale ambao mizani zao zitakuwa nyepesi, hao ndio walio zitia khasarani nafsi zao, na katika Jahannamu watadumu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن خفت موازينه فأولئك الذين خسروا أنفسهم في جهنم خالدون, باللغة السواحيلية

﴿ومن خفت موازينه فأولئك الذين خسروا أنفسهم في جهنم خالدون﴾ [المؤمنُون: 103]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na yule ambaye mema yake yatakuwa machache kwenye mizani na maovu yake yatakuwa mengi zaidi, na kubwa zaidi ya hayo maovu ni ushirikina, basi hao ndio ambao wamepita patupu na wakaziangamiza nafsi zao kwenye moto wa Jahanamu, watasalia humo milele
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek