Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 104 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿تَلۡفَحُ وُجُوهَهُمُ ٱلنَّارُ وَهُمۡ فِيهَا كَٰلِحُونَ ﴾
[المؤمنُون: 104]
﴿تلفح وجوههم النار وهم فيها كالحون﴾ [المؤمنُون: 104]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Moto huo utaunguza nyuso zao, na wao humo watakuwa ni wenye kufinya nyuso, midomo yao imekauka na meno yao yamejitokeza nje |