Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 36 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿۞ هَيۡهَاتَ هَيۡهَاتَ لِمَا تُوعَدُونَ ﴾
[المؤمنُون: 36]
﴿هيهات هيهات لما توعدون﴾ [المؤمنُون: 36]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Kwa hakika, liko mbali sana hilo mnaloahidiwa, enyi watu, la kwamba nyinyi mtatolewa makaburini mwenu mkiwa hai baada ya kufa kwenu |