Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 46 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ وَمَلَإِيْهِۦ فَٱسۡتَكۡبَرُواْ وَكَانُواْ قَوۡمًا عَالِينَ ﴾
[المؤمنُون: 46]
﴿إلى فرعون وملئه فاستكبروا وكانوا قوما عالين﴾ [المؤمنُون: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kwa Fir'awn, hakimu wa Misri, na watukufu wa watu wake ambao walifanya kiburi wakakataa kumuamini Mūsā na ndugu yake. Na wao walikuwa ni watu wanaojiona bora kuliko watu wengine na walikuwa wakiwanyanyasa kwa kuwadhulumu |