Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 65 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿لَا تَجۡـَٔرُواْ ٱلۡيَوۡمَۖ إِنَّكُم مِّنَّا لَا تُنصَرُونَ ﴾
[المؤمنُون: 65]
﴿لا تجأروا اليوم إنكم منا لا تنصرون﴾ [المؤمنُون: 65]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hapo waambiwe, «Msipige kelele wala msiombe kuokolewa leo! Nyinyi hamuwezi kuziokoa nafsi zenu, na hakuna yoyote atakayewaokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu |