×

Bali tumewaletea Haki, na kwa yakini hao ni waongo 23:90 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:90) ayat 90 in Swahili

23:90 Surah Al-Mu’minun ayat 90 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 90 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿بَلۡ أَتَيۡنَٰهُم بِٱلۡحَقِّ وَإِنَّهُمۡ لَكَٰذِبُونَ ﴾
[المؤمنُون: 90]

Bali tumewaletea Haki, na kwa yakini hao ni waongo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: بل أتيناهم بالحق وإنهم لكاذبون, باللغة السواحيلية

﴿بل أتيناهم بالحق وإنهم لكاذبون﴾ [المؤمنُون: 90]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ilivyo ni kwamba tumewaletea wakanushaji hawa ukweli wa yale tuliyompeleka kwayo Mtume Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie. Na kwa hakika wao ni warongo kwenye ushirikina wao na ukanushaji wao kufufuliwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek